As-Saaffat 37:71 ولقد ضل قبلهم اكثر الاولين ٧١
وَلَقَدۡ
ضَلَّ
قَبۡلَهُمۡ
أَكۡثَرُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
٧١
Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na kwa hakika, kabla ya watu wako, ewe Mtume, walipotea na kuwa kando na haki ummah wengi waliotangulia.