As-Saaffat 37:85 اذ قال لابيه وقومه ماذا تعبدون ٨٥
إِذۡ
قَالَ
لِأَبِيهِ
وَقَوۡمِهِۦ
مَاذَا
تَعۡبُدُونَ
٨٥
Alimwambia baba yake na watu wake: Mnaabudu nini? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
alipomwambia babake na watu wake kwa njia ya kuwakanya, «Ni kitu gani hiko mnachokiabudu badala ya Mwenyezi Mungu?