As-Saaffat 37:9 دحورا ولهم عذاب واصب ٩
دُحُورٗاۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٞ
وَاصِبٌ
٩
Wakifurushwa. Na wanayo adhabu ya kudumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kwa kuwafukuza ili wasipate kusikiliza. Na huko kwenye Nyumba ya Akhera watakuwa na adhabu ya daima yenye kuumiza.