Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saff 61:4

61:4
ان الله يحب الذين يقاتلون في سبيله صفا كانهم بنيان مرصوص ٤
إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلَّذِينَ يُقَـٰتِلُونَ فِى سَبِيلِهِۦ صَفًّۭا كَأَنَّهُم بُنْيَـٰنٌۭ مَّرْصُوصٌۭ ٤
إِنَّ
ٱللَّهَ
يُحِبُّ
ٱلَّذِينَ
يُقَٰتِلُونَ
فِي
سَبِيلِهِۦ
صَفّٗا
كَأَنَّهُم
بُنۡيَٰنٞ
مَّرۡصُوصٞ
٤
Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu kama jengo lilio kamatana. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wale wanaopigana katika njia Yake wakiwa wamejipanga kama kwamba wao ni jengo lililopangika na kuimarika kwa namna ya kutoweza adui kupenyeza kupitia jengo hilo. Katika aya hii pana maelezo ya ubora wa jihadi na wenye kupigana jihadi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila upungufu, Anawapenda waja Wake Waumini wanapojipanga kupambana na maadui wa Mwenyezi Mungu.