As-Sajdah 32:28 ويقولون متى هاذا الفتح ان كنتم صادقين ٢٨
وَيَقُولُونَ
مَتَىٰ
هَٰذَا
ٱلۡفَتۡحُ
إِن
كُنتُمۡ
صَٰدِقِينَ
٢٨
Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawa washirikina wanaifanyia haraka adhabu, wanasema, «Ni lini hukumu hii ya kutuadhibu, kama mnavyodai, ambayo itaamua baina yetu na nyinyi, iwapo nyinyi ni wakweli katika madai yenu?»
Hawa washirikina wanaifanyia haraka adhabu, wanasema, «Ni lini hukumu hii ya kutuadhibu, kama mnavyodai, ambayo itaamua baina yetu na nyinyi, iwapo ny…