As-Sajdah 32:30 فاعرض عنهم وانتظر انهم منتظرون ٣٠
فَأَعۡرِضۡ
عَنۡهُمۡ
وَٱنتَظِرۡ
إِنَّهُم
مُّنتَظِرُونَ
٣٠
Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi wape mgongo, ewe Mtume, hawa washirikina, na usiujali ukanushaji wao, na ungojee vile Mwenyezi Mungu Atawafanya. Hakika wao ni wenye kungojea na kutaraji mpatikane na ubaya. Basi Mwenyezi Mungu Atawapa hizaya na Atawadhalilisha na Akupe ushindi juu yao. Na Mwenyezi Mungu Ashalifanya hilo, sifa …
Basi wape mgongo, ewe Mtume, hawa washirikina, na usiujali ukanushaji wao, na ungojee vile Mwenyezi Mungu Atawafanya. Hakika wao ni wenye kungojea na …