Ash-Shuaraa 26:105 كذبت قوم نوح المرسلين ١٠٥
كَذَّبَتۡ
قَوۡمُ
نُوحٍ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٠٥
Kaumu ya Nuhu waliwakadhibisha Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waliukanusha watu wa Nūḥ ujumbe wa Nabii wao. Wakawa, kwa kufanya hivyo, ni wakanushaji wa Mitume wote, kwa kuwa kila Mtume anaamrisha kuwaamini Mitume wote.
Waliukanusha watu wa Nūḥ ujumbe wa Nabii wao. Wakawa, kwa kufanya hivyo, ni wakanushaji wa Mitume wote, kwa kuwa kila Mtume anaamrisha kuwaamini Mitum…