Ash-Shuaraa 26:111 ۞ قالوا انومن لك واتبعك الارذلون ١١١
۞ قَالُوٓاْ
أَنُؤۡمِنُ
لَكَ
وَٱتَّبَعَكَ
ٱلۡأَرۡذَلُونَ
١١١
Wakasema: Je! Tukuamini wewe, hali wanao kufuata ni watu wa chini?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wake wakamwambia, «Vipi tutakuamini na tutakufuata na hali hao waliokufuata ni watu wanyonge na wale wa hali ya chini miongoni mwao?»