Ash-Shuaraa 26:120 ثم اغرقنا بعد الباقين ١٢٠
ثُمَّ
أَغۡرَقۡنَا
بَعۡدُ
ٱلۡبَاقِينَ
١٢٠
Kisha tukawazamisha baadaye walio bakia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha tukawazamisha, baada ya kumuokoa Nūḥ na wale waliokuwa pamoja na yeye, wale waliosalia kati ya wale ambao hawakuamini na wakaukataa ushauri aliyowapa.
Kisha tukawazamisha, baada ya kumuokoa Nūḥ na wale waliokuwa pamoja na yeye, wale waliosalia kati ya wale ambao hawakuamini na wakaukataa ushauri aliy…