Ash-Shuaraa 26:130 واذا بطشتم بطشتم جبارين ١٣٠
وَإِذَا
بَطَشۡتُم
بَطَشۡتُمۡ
جَبَّارِينَ
١٣٠
Na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mnapomshika mtu kwa nguvu na mkamakinika kumuua au kumpiga, basi mnalifanya hilo kwa kutendesha nguvu hali ya kufanya maonevu.