Ash-Shuaraa 26:14 ولهم علي ذنب فاخاف ان يقتلون ١٤
وَلَهُمۡ
عَلَيَّ
ذَنۢبٞ
فَأَخَافُ
أَن
يَقۡتُلُونِ
١٤
Na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na watanishika na kosa la kumuua mwanamume wa jamii ya Qibṭī miongoni mwao, na kwa hivyo ninaogopa wasiniue kwa ajili yake.»