Ash-Shuaraa 26:146 اتتركون في ما هاهنا امنين ١٤٦
أَتُتۡرَكُونَ
فِي
مَا
هَٰهُنَآ
ءَامِنِينَ
١٤٦
Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo hapa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Je, Awaache Mola wenu katika starehe mlizonazo, hali ya kuwa mumetulia katika dunia hii mkiwa mumesalimika na adhabu na kuondoka na kufa?