Ash-Shuaraa 26:163 فاتقوا الله واطيعون ١٦٣
فَٱتَّقُواْ
ٱللَّهَ
وَأَطِيعُونِ
١٦٣
Basi mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi jihadharini na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa kumkanusha kwenu mjumbe Wake, na nifuateni mimi katika yale ninayowalingania.