Ash-Shuaraa 26:167 قالوا لين لم تنته يا لوط لتكونن من المخرجين ١٦٧
قَالُواْ
لَئِن
لَّمۡ
تَنتَهِ
يَٰلُوطُ
لَتَكُونَنَّ
مِنَ
ٱلۡمُخۡرَجِينَ
١٦٧
Wakasema: Ewe Luut'i! Usipo acha, hapana shaka utakuwa miongoni mwa wanao tolewa mji!. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa Lūṭ wakasema, «Usipoacha, ewe Lūṭ, kutukataza kuwajia wanaume na kukichafua kitendo hicho (cha kuwajia wanaume), utakuwa ni miongoni mwa wenye kufukuzwa kutoka miji yetu.»
Watu wa Lūṭ wakasema, «Usipoacha, ewe Lūṭ, kutukataza kuwajia wanaume na kukichafua kitendo hicho (cha kuwajia wanaume), utakuwa ni miongoni mwa wenye…