Ash-Shuaraa 26:168 قال اني لعملكم من القالين ١٦٨
قَالَ
إِنِّي
لِعَمَلِكُم
مِّنَ
ٱلۡقَالِينَ
١٦٨
Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lūṭ akasema kuwaambia wao, «Mimi ni miongoni mwa wale wanaokichukia sana kitendo chenu mnachokifanya cha kuwajia wanaume.»