Ash-Shuaraa 26:179 فاتقوا الله واطيعون ١٧٩
فَٱتَّقُواْ
ٱللَّهَ
وَأَطِيعُونِ
١٧٩
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi yaogopeni mateso ya Mwenyezi Mungu na mkifuate kile ninachowaitia cha uongofu wa Mwenyezi Mungu mupate kuongoka.