Ash-Shuaraa 26:184 واتقوا الذي خلقكم والجبلة الاولين ١٨٤
وَٱتَّقُواْ
ٱلَّذِي
خَلَقَكُمۡ
وَٱلۡجِبِلَّةَ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٨٤
Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na jihadharini na mateso ya Mwenyezi Mungu Aliyewaumba na Akawaumba watu wa mataifa yaliyowatangulia.»