Ash-Shuaraa 26:192 وانه لتنزيل رب العالمين ١٩٢
وَإِنَّهُۥ
لَتَنزِيلُ
رَبِّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
١٩٢
Na bila ya shaka hii ni Uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, hii Qur’ani ambayo ndani yake zimetajwa habari hizi za kweli imeteremshwa na Muumba viumbe na Mmiliki wa mambo yote.