Ash-Shuaraa 26:199 فقراه عليهم ما كانوا به مومنين ١٩٩
فَقَرَأَهُۥ
عَلَيۡهِم
مَّا
كَانُواْ
بِهِۦ
مُؤۡمِنِينَ
١٩٩
Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
wakawasomea makafiri wa Kikureshi kisomo cha Kiarabu kilicho sawa, wangaliikanusha pia na wangalizua sababu ya ukanushaji wao.