Ash-Shuaraa 26:207 ما اغنى عنهم ما كانوا يمتعون ٢٠٧
مَآ
أَغۡنَىٰ
عَنۡهُم
مَّا
كَانُواْ
يُمَتَّعُونَ
٢٠٧
Yatawafaa nini yale waliyo stareheshewa?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakutawafaa kitu kule kustarehe kwao kwa umri mrefu na maisha mazuri wasipotubia kutokana na ushirikina wao. Basi adhabu ya Mwenyezi Mungu ni yenye kuwashukia hivi karibuni (ulimwenguni) au baadaye (huko Akhera).
Hakutawafaa kitu kule kustarehe kwao kwa umri mrefu na maisha mazuri wasipotubia kutokana na ushirikina wao. Basi adhabu ya Mwenyezi Mungu ni yenye ku…