Ash-Shuaraa 26:212 انهم عن السمع لمعزولون ٢١٢
إِنَّهُمۡ
عَنِ
ٱلسَّمۡعِ
لَمَعۡزُولُونَ
٢١٢
Hakika hao wametengwa na kusikia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kwa kuwa wao ni wenye kuzuiliwa kuisikiliza Qur’ani kutoka mbinguni, ni wenye kupigwa na vimondo.