Ash-Shuaraa 26:215 واخفض جناحك لمن اتبعك من المومنين ٢١٥
وَٱخۡفِضۡ
جَنَاحَكَ
لِمَنِ
ٱتَّبَعَكَ
مِنَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
٢١٥
Na watwae kwa upole wanao kufuata miongoni mwa Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na uwe laini wa mwenendo na maneno, kwa unyenyekevu na huruma, kwa yule ambaye imekufunukia kutoka kwake kuitika mwito wako.