Ash-Shuaraa 26:30 قال اولو جيتك بشيء مبين ٣٠
قَالَ
أَوَلَوۡ
جِئۡتُكَ
بِشَيۡءٖ
مُّبِينٖ
٣٠
Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akasema, «Je, utanifanya mimi ni miongoni mwa wafungwa jela, hata nikikuletea hoja ya kukata ambayo kwa hiyo utabainika ukweli wangu?»