Ash-Shuaraa 26:34 قال للملا حوله ان هاذا لساحر عليم ٣٤
قَالَ
لِلۡمَلَإِ
حَوۡلَهُۥٓ
إِنَّ
هَٰذَا
لَسَٰحِرٌ
عَلِيمٞ
٣٤
(Firauni) akawaambia waheshimiwa walio mzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir’awn akasema kuwaambia watukufu wa watu wake, kwa kuogopa wasije wakaamini, «Kwa kweli Mūsā ni mchawi hodari.