Ash-Shuaraa 26:35 يريد ان يخرجكم من ارضكم بسحره فماذا تامرون ٣٥
يُرِيدُ
أَن
يُخۡرِجَكُم
مِّنۡ
أَرۡضِكُم
بِسِحۡرِهِۦ
فَمَاذَا
تَأۡمُرُونَ
٣٥
Anataka kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Anataka kuwatoa nyinyi, kwa uchawi wake, kwenye ardhi yenu. Basi mnatoa shauri gani kuhusu yeye nipate kuyafuata maoni yenu?»