Ash-Shuaraa 26:60 فاتبعوهم مشرقين ٦٠
فَأَتۡبَعُوهُم
مُّشۡرِقِينَ
٦٠
Basi wakawafuata lilipo chomoza jua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hivyo basi Fir’awn na askari wake walimkuta Mūsā na waliokuwa pamoja na yeye wakati wa kuchomoza jua.