Ash-Shuaraa 26:74 قالوا بل وجدنا اباءنا كذالك يفعلون ٧٤
قَالُواْ
بَلۡ
وَجَدۡنَآ
ءَابَآءَنَا
كَذَٰلِكَ
يَفۡعَلُونَ
٧٤
Wakasema: Bali tumewakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema, «Haliwi lolote katika hayo, lakini tuliwakuta mababa zetu wakiwaabudu, na sisi tukawaiga katika yale ambayo walikuwa wakiyafanya.»