Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:77

26:77
فانهم عدو لي الا رب العالمين ٧٧
فَإِنَّهُمْ عَدُوٌّۭ لِّىٓ إِلَّا رَبَّ ٱلْعَـٰلَمِينَ ٧٧
فَإِنَّهُمۡ
عَدُوّٞ
لِّيٓ
إِلَّا
رَبَّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٧٧
Kwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kwani hao mnaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni maadui zangu. Lakini Mola wa viumbe wote na Mmiliki wa mambo yao, Yeye Peke Yake Ndiye ninayemuabudu.