Ash-Shuaraa 26:81 والذي يميتني ثم يحيين ٨١
وَٱلَّذِي
يُمِيتُنِي
ثُمَّ
يُحۡيِينِ
٨١
Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Yeye Ndiye Atakayenifisha duniani kwa kuichukua roho yangu, kisha Atanihuisha Siku ya Kiyama, hakuna awezaye hilo isipokuwa Yeye.