Ash-Shuaraa 26:84 واجعل لي لسان صدق في الاخرين ٨٤
وَٱجۡعَل
لِّي
لِسَانَ
صِدۡقٖ
فِي
ٱلۡأٓخِرِينَ
٨٤
Na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na unifanye niwe na sifa nzuri na utajo mwema kwa wale watakaokuja baada yangu mpaka Siku ya Kiyama.