Ash-Shuaraa 26:85 واجعلني من ورثة جنة النعيم ٨٥
وَٱجۡعَلۡنِي
مِن
وَرَثَةِ
جَنَّةِ
ٱلنَّعِيمِ
٨٥
Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na unifanye mimi niwe miongoni mwa waja wako utakaowarithisha starehe za Peponi.»