Ash-Shuaraa 26:86 واغفر لابي انه كان من الضالين ٨٦
وَٱغۡفِرۡ
لِأَبِيٓ
إِنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلضَّآلِّينَ
٨٦
Na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hii ni dua ya Ibrāhīm, amani imshukiye, ya kumuomba Mwenyezi Mungu Amuokoe babake na upotevu na Ampe uongofu, ili Amghufirie na Amsamehe, kama Ibrāhīm alivyomuahidi babake kumuombea Mungu, na ilipomfunukia kuwa yeye ni mwenye kuendelea kwenye ukafiri na ushirikina mpaka afe alijiepusha naye.
Hii ni dua ya Ibrāhīm, amani imshukiye, ya kumuomba Mwenyezi Mungu Amuokoe babake na upotevu na Ampe uongofu, ili Amghufirie na Amsamehe, kama Ibrāhīm…