Ash-Shuaraa 26:96 قالوا وهم فيها يختصمون ٩٦
قَالُواْ
وَهُمۡ
فِيهَا
يَخۡتَصِمُونَ
٩٦
Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watasema wakikiri makosa yao, na huku wanagombana, ndani ya Jahanamu, na wale waliowapoteza wao,