Ash-Shuaraa 26:98 اذ نسويكم برب العالمين ٩٨
إِذۡ
نُسَوِّيكُم
بِرَبِّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٩٨
Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
tulipowafanya nyinyi kuwa ni sawa na Mola wa viumbe wote, Anayestahiki kuabudiwa, Peke Yake.