Ash-Shuura 42:32 ومن اياته الجوار في البحر كالاعلام ٣٢
وَمِنۡ
ءَايَٰتِهِ
ٱلۡجَوَارِ
فِي
ٱلۡبَحۡرِ
كَٱلۡأَعۡلَٰمِ
٣٢
Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa alama Zake zenye kuonyesha uweza Wake mkubwa na mamlaka Yake yenye kushinda ni majahazi makubwa kama majabali yanayotembea baharini.