Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: At-Takaathur 102:5

102:5
كلا لو تعلمون علم اليقين ٥
كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ ٱلْيَقِينِ ٥
كـَلَّا
لَوۡ
تَعۡلَمُونَ
عِلۡمَ
ٱلۡيَقِينِ
٥
Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Siyo namna hii inatakiwa iwashughulishe kushindana kwa wingi wa mali.Lau mnajua kikweli, mngalirudi nyuma na mngaliangusiliza kuokoa nafsi zenu kutoka kwenye maangamivu.