At-Takaathur 102:8 ثم لتسالن يوميذ عن النعيم ٨
ثُمَّ
لَتُسۡـَٔلُنَّ
يَوۡمَئِذٍ
عَنِ
ٱلنَّعِيمِ
٨
Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha mtaulizwa kuhusu kila aina ya starehe mliyokuwa nayo.