At-Tur 52:12 الذين هم في خوض يلعبون ١٢
ٱلَّذِينَ
هُمۡ
فِي
خَوۡضٖ
يَلۡعَبُونَ
١٢
Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ambao wao wamevama ndani ya ubatilifu wanapumbaa nao na wanaifanya dini yao kuwa ni shere na mchezo.