Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: At-Tur 52:23

52:23
يتنازعون فيها كاسا لا لغو فيها ولا تاثيم ٢٣
يَتَنَـٰزَعُونَ فِيهَا كَأْسًۭا لَّا لَغْوٌۭ فِيهَا وَلَا تَأْثِيمٌۭ ٢٣
يَتَنَٰزَعُونَ
فِيهَا
كَأۡسٗا
لَّا
لَغۡوٞ
فِيهَا
وَلَا
تَأۡثِيمٞ
٢٣
Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vya kuleta maneno ya upuuzi wala dhambi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na miongoni mwa starehe hizo ni kuwa wao watapeana gilasi ya pombe, mmoja wao atampa mwenzake, ili furaha yao ikamilike. Kinywaji hiki kinatafautiana na pombe ya duniani, hakimleweshi akili mwenye kukinywa, wala hakisababishi kubobokwa, wala maneno ya makosa na maasia.