At-Tur 52:32 ام تامرهم احلامهم بهاذا ام هم قوم طاغون ٣٢
أَمۡ
تَأۡمُرُهُمۡ
أَحۡلَٰمُهُم
بِهَٰذَآۚ
أَمۡ
هُمۡ
قَوۡمٞ
طَاغُونَ
٣٢
Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au zinawaamuru akili zao, hao wakanushaji, ziseme neno hili linalogongana (kuwa sifa ya ukuhani, utungaji mashairi, na wendawazimu haiwezekani kukutana wakati mmoja)? Bali wao ni watu waliruka mipaka katika uasi.
Au zinawaamuru akili zao, hao wakanushaji, ziseme neno hili linalogongana (kuwa sifa ya ukuhani, utungaji mashairi, na wendawazimu haiwezekani kukutan…