At-Tur 52:35 ام خلقوا من غير شيء ام هم الخالقون ٣٥
أَمۡ
خُلِقُواْ
مِنۡ
غَيۡرِ
شَيۡءٍ
أَمۡ
هُمُ
ٱلۡخَٰلِقُونَ
٣٥
Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, wameumbwa hawa washirikina bila kuwako mwenye kuwaumba na kuwapatisha au wao wamejiumba wenyewe? Na yote mambo mawili haya yametanguka na hayawezekani. Na kwa hivyo, inalazimika kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyewaumba, na Yeye Peke Yake Ndiye Ambaye hakuna anayepasa kuabudiwa, wala kufaa kuabudiwa…
Je, wameumbwa hawa washirikina bila kuwako mwenye kuwaumba na kuwapatisha au wao wamejiumba wenyewe? Na yote mambo mawili haya yametanguka na hayaweze…