At-Tur 52:42 ام يريدون كيدا فالذين كفروا هم المكيدون ٤٢
أَمۡ
يُرِيدُونَ
كَيۡدٗاۖ
فَٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
هُمُ
ٱلۡمَكِيدُونَ
٤٢
Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Bali wao wanataka kumfanyia vitimbi Mtume wa Mwenyezi Mungu na Waumini. Basi hao makafiri, vitimbi vyao na njama zao vitawarudia wao wenyewe.