At-Tur 52:46 يوم لا يغني عنهم كيدهم شييا ولا هم ينصرون ٤٦
يَوۡمَ
لَا
يُغۡنِي
عَنۡهُمۡ
كَيۡدُهُمۡ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
هُمۡ
يُنصَرُونَ
٤٦
Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Katika Siku hiyo havitawazuilia wao vitimbi vyao kotokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu kitu chochote, na hatawanusuru yoyote kuwaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Katika Siku hiyo havitawazuilia wao vitimbi vyao kotokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu kitu chochote, na hatawanusuru yoyote kuwaokoa na adhabu ya Mwen…