Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
099

Az-Zilzal 99:6 يوميذ يصدر الناس اشتاتا ليروا اعمالهم ٦

99:6
يَوۡمَئِذٖ
يَصۡدُرُ
ٱلنَّاسُ
أَشۡتَاتٗا
لِّيُرَوۡاْ
أَعۡمَٰلَهُمۡ
٦
Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Siku hiyo wataondoka kutoka kwenye kisimamo cha Hesabu wakiwa makundi, ili Mwenyezi Mungu Awaoneshe waliyoyatenda, mazuri na mabaya, na Awalipe kwayo.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 99, Ukurasa 599, Juzuu 30

1. Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! 2. Na itakapo toa ardhi mizigo yake! 3. Na mtu akasema: Ina nini? 4. Siku hiyo itahadithia khabari zake. 5. Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia! 6. Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! 7. Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! 8. Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia