Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Az-Zukhruf 43:2

43:2
والكتاب المبين ٢
وَٱلْكِتَـٰبِ ٱلْمُبِينِ ٢
وَٱلۡكِتَٰبِ
ٱلۡمُبِينِ
٢
Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Ameapa kwa Qur’ani ambayo matamshi yake na maana yake yako waziwazi.