Az-Zukhruf 43:21 ام اتيناهم كتابا من قبله فهم به مستمسكون ٢١
أَمۡ
ءَاتَيۡنَٰهُمۡ
كِتَٰبٗا
مِّن
قَبۡلِهِۦ
فَهُم
بِهِۦ
مُسۡتَمۡسِكُونَ
٢١
Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, walishuhudia uumbaji wa Malaika au tuliwapatia kitabu kabla ya hii Qur’ani tuliyoiteremsha, wakawa wameshikamana nacho, wakifanyia kazi na wanajijengea kwa hicho hoja za kukupinga, ewe Mtume?
Je, walishuhudia uumbaji wa Malaika au tuliwapatia kitabu kabla ya hii Qur’ani tuliyoiteremsha, wakawa wameshikamana nacho, wakifanyia kazi na wanajij…