Az-Zukhruf 43:5 افنضرب عنكم الذكر صفحا ان كنتم قوما مسرفين ٥
أَفَنَضۡرِبُ
عَنكُمُ
ٱلذِّكۡرَ
صَفۡحًا
أَن
كُنتُمۡ
قَوۡمٗا
مُّسۡرِفِينَ
٥
Je! Tuache kukukumbusheni kabisa kwa kuwa nyinyi ni watu mlio pita mipaka kwa ukafiri? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je tuwape nyinyi mgongo na tuache kuwateremshia Qur’ani kwa ajili ya kupuuza kwenu, kutofuata na kupita mipaka kwenu katika kukataa kuiamini?