Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
43:50
فلما كشفنا عنهم العذاب اذا هم ينكثون ٥٠
فَلَمَّا كَشَفْنَا عَنْهُمُ ٱلْعَذَابَ إِذَا هُمْ يَنكُثُونَ ٥٠
فَلَمَّا
كَشَفۡنَا
عَنۡهُمُ
ٱلۡعَذَابَ
إِذَا
هُمۡ
يَنكُثُونَ
٥٠
Basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Basi Mūsā alipoomba adhabu iondolewe kwao na tukawaondolea hiyo adhabu, ghafla wanavunja ahadi na wanaendelea kwenye upotevu wao.