Az-Zukhruf 43:52 ام انا خير من هاذا الذي هو مهين ولا يكاد يبين ٥٢
أَمۡ
أَنَا۠
خَيۡرٞ
مِّنۡ
هَٰذَا
ٱلَّذِي
هُوَ
مَهِينٞ
وَلَا
يَكَادُ
يُبِينُ
٥٢
Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Bali mimi ni bora kuliko huyu asiye na utukufu. Kwani yeye anajidhalilisha katika kuataka haja zake kwa udhaifu wake na unyonge wake, na hafafanui maneno kwa ajili ya uzito wa ulimi wake.» Na lililomfanya Fir’awn atoe kauli hii ni ukafiri, ushindani na uzuiaji njia ya Mwenyezi Mungu.
«Bali mimi ni bora kuliko huyu asiye na utukufu. Kwani yeye anajidhalilisha katika kuataka haja zake kwa udhaifu wake na unyonge wake, na hafafanui ma…