Az-Zukhruf 43:6 وكم ارسلنا من نبي في الاولين ٦
وَكَمۡ
أَرۡسَلۡنَا
مِن
نَّبِيّٖ
فِي
ٱلۡأَوَّلِينَ
٦
Na Manabii wangapi tuliwatuma kwa watu wa zamani! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tumewatumiliza Manabii wengi katika kame za mwanzo zilizopita kabla ya watu wako, ewe Nabii.